DIAMOND THE PLATNUMZ WIVU KATIKA MAPENZI NI MUHIMU


halafu anaforce kuingizia neno 'baby' kwenye sentensi- mgando zake ujue Mission yake ya Kuku-replace na new baby IMEBUMA. Na wana mbinu kweli,utashangaa meseji inaingia,''halo,mambo dear,eti ofisi za EWURA ziko sehemu gani naomba nisaidie'..Haya utamjibu ofisi zilipo,utashangaa anaendeleza libeneke,''Vipi lakini baby uko poa,umenichunia sana kwani tuna ugomvi,au ndo mapozi kisa una shem mpya kakubana' Sasa unajiuliza Shem kunibana na ofisi za EWURA zinahusiana
nini??Unagundua hapa EWURA imetumika kama chambo tu ili kuanzishia conversation..Mchinjilie mbali atembee na bwana... If he/she treated you like a joke please let it be funny....Hizi ni dalili amekuona wewe ndo bwege wake,kama kuruta wa geti la jeshi lugalo,muda wowote Vifaru vikirudi kambini yeye anafungua tu geti anapiga saluti vinaingia..Usikubali kuwa mlinzi wa geti,mtu anatoka na kuingia muda anaotaka na ulivyo zuzu we unafungua tu Shkamooni Ma-EX wote wenye Mbinu za Ewura...Imekula kwenu kama umeipenda ? Waweza
Previous
Next Post »