Msanii wa muziki H.Baba ambaye pamoja na mkewe Flora Mvungi wanatarajia mtoto wa pili sasa, amesema kuwa kwa sasa yeye na mkewe wamesitisha project zote za kifamilia mpaka pale mtoto wao wa pili atakapozaliwa na kukaa sawa.
Wakiwa tayari wameenda kinyume na misingi ya afya ya uzazi kwa mujibu wa wataalam, kusubiri kipindi cha miezi 18 ama zaidi tangu kupata mtoto mmoja hadi mwingine, mtoto wao Tanzanite akiwa na miezi 16 tu, H Baba amesema kwa sasa wanajenga familia kwanza, ili kutoa nafasi ya kuanza kusaka pesa vizuri hapo baadaye.
Sign up here with your email
ConversionConversion EmoticonEmoticon