style="display:inline-block;width:680px;height:300px" data-ad-client="ca-pub-3992075039970891" data-ad-slot="7646462965"> Licha ya kuwa na uwezo mkubwa wa kuigiza pia rose ni mwandishi na mwongozaji wa Filamu.
Akiwa ameshaigiza kwenye zaidi ya Filamu kumi na saba (17) na kupata tuzo mbalimbali ikiwemo ya best actress in mini ziff 2011; Rose Pia ni mfanyabishara na anamiliki kampuni yake binafsi iitwayo Ndauka Entertainment inayojihusha na mambo ya Filamu na burudani.
Rose Hupenda kusikiliza muziki, kuogelea, na kusoma vitabu akiwa yupo nyumbani na amepata mtoto mmoja nje ya ndoa
Sign up here with your email
ConversionConversion EmoticonEmoticon