Yaya
Toure amewatosa wachezaji wenzake wa Manchester City baada kushindwa
kumtaja hata mmoja katika kikosi chake bora cha wachezaji 11.
Kiungo
huyo akaamua kuwaweka kando nyota wa City kama Sergio Aguero, David
Silva na Vincent Kompany na kuwataja wachezaji wenzake wa zamani Gerard
Pique, Dani Alves, Andres Iniesta, Xavi na Lionel Messi aliokipiga nao
ndani ya Barcelona.
Sign up here with your email
ConversionConversion EmoticonEmoticon