Muda mrefu watu walianza kuitamani
video baada ya single yao iitwayo Siri kuingia kwenye chati za radio
mbalimbali, sasa time hii Vanessa Mdee na Barnaba wametusogezea rasmi
video ya single hiyo imeongozwa na director Hanscana.
Itazame kwa ku bonyeza play #Siri
Sign up here with your email
ConversionConversion EmoticonEmoticon