Baada
ya kugundua kuwa ujenzi wa nyumba hii iliyopo Bomang'ombe mkoani
Kilimanjaro umeingia kwenye kiwanja chake ,mmiliki wa eneo hilo aliamua
kujenga ukuta kuzunguka kiwanja chake na alivyofika katika nyumba hii
alipitisha ukuta wake mlangoni.
Ukuta ukapita sebuleni mwa nyumba hiyo na kutokea nyuma ya nyumba.Na Hii ndio waswahili wanasema dawa ya Kiburi Jeuri.
Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini.
Sign up here with your email
ConversionConversion EmoticonEmoticon