Nimekutana na huyu dada anaomba ushauri kwa Joyce Kiria
Miaka 3 ilopita nimekuwa katika matatizo makubwa sana.....nawashwa sana
sehemu za siri (uken). nilienda baadhi ya hospitali wanasema ni fungus
nikatumia dawa baada ya wiki tatizo likajirudia. Nimekuwa mtu wa
kujikuna wakati wote. Ukeni panawaka moto kwa kujikuna, nimeendelea na
tiba mpaka likaibuka tatizo jingine . kila ninapofanya tendo la ndoa
napata maumivu ambayo hayaelezeki wakati mwingine mpaka naanza kubleed.
Kurudi tena hospitali wakasema nipime vipimo vya kansa lakini tatizo
likazidi kuongezeka na sasa siwezi hata kufanya tendo la ndoa. madaktari
ktk vipimo wakagundua kwenye uk-e kuna wekundu mwingi sana badala ya
rangi ya pink.
Kumbe ile rangi nyekundu ni sehemu ambayo imeshambuliwa na bacteria
wasiosikia dawa. Wakajaribu kupeleka dawa sehemu iliyoathirika bado
ikashindikana kuwaua!
Baadae madaktari wa Muhimbili wakaniuliza ninavyofanya usafi katika
sehemu zangu za siri na nikawambia ukweli kwamba, "NASAFISHA KWA
KUINGIZA VIDOLE NDANI, NAJIINGIZA ASALI NA PAMBA NDANIILI UKKE UWE
UMEBANA NA VINGINE VINGI tu tunavyoshauriana na wasichana (VIUNGA SEHEMU
ZA SIRI).
Madaktari wakasema sababuya tatizo langu nimeua bakteria wote walinzi
ndani ya ukke ndo maana nimmeshambuliwa na bacteria ambao hawaskii dawa
Ndugu zangu nilikuwa nikiunga sehemu za siri (ukke) kwa VIUNGO na
naingiza kucha pamoja na sabuni ili uwe ubane na upendeze. Sasa
nimeshauriwa nitoe kizazi katika umri wa miaka 29 kwani nikiacha itakuwa
kansa. Najua mna ndugu zenu wa kike au wake zenu. Wape tahadhari juu ya
hili.
My take: Hivi hadi uweke asali, vidole, pamba nk ndani ya ukkke ili
ubane unatafuta nini? Kuna mashindano ya zinazobana, na wanawapa tuzo
gani hadi utake risk kias hiki
Sign up here with your email
ConversionConversion EmoticonEmoticon