Muuza Mishikaki Maarufu Temeke Stand Apata Kichapo baada ya Kukutwa Anauza Mishikaki ya Nyama ya Paka

Muuza mishikaki maarufu Temeke stand ya mabasi anaiywa Said Mishikaki amekamatwa jana na nyama ya paka jana akiwa anaitengeneza kwa ajili ya kuchoma mishikaki kama kawaida yake....ananchi wenye hasira kali walimshushia kipigo cha haja kwa hasira za kulishwa nyama ya paka bila kujua
Previous
Next Post »