UNAHISI NI KWANINI WAKRISTO NDO HUONGOZA KILA MWAKA KATIKA MITIHANI KITAIFA

UNAHISI NI KWANINI KILA MWAKA KATIKA MATOKEO YA KIDATO CHA NNE, ANAEONGOZA ANAKUA SIO MUISLAM?.
Waislamu hatusomi au hatuna maarifa ya kusoma?
Nyakaho Marungu,a...mekuwa wa kwanza kati ya wanafunzi 288,247 waliofanya mtihani huo mwaka jana baada ya kuibuka na pointi 5.0
"Nilitarajia kufanya vizuri lakini sikujua kama nitakuwa mwanafunzi bora wa mwaka 2014 nchi zima,” alisema
Previous
Next Post »