FUNDI SAA APOKEA KICHA BAADA YA KUDAIWA KUMLAWITI MTOTO HUKO ARUSHA


Njemba mmoja ambaye ni fundi saa maeneo ya Stendi Kuu jijini Arusha leo amepokea kipigo cha mbwa mwizi baada ya kudaiwa kumlawiti mwanafunzi wa kiume wa darasa la tatu wa shule moja jijini humo.
Previous
Next Post »