Kama mnavyojua kwakipindi cha miezi isiopungua mi nne sasa..Dada yetu
Agnes Gerald aka Masogange aliamia nchini Afrika Kusini..Ambako kimsingi
alipata bwana wa kuishinaye huko. Leo
hii asubuhi kupitia ukurasa wake wa INSTAGRAM masogange ametupia picha
ya pasi ya kusafiria ya Afrika Kusini...na ku-caption alama ya kupiga
makofi....hii nikuuonesha kuwa kwasasa sio raia tena wa Tanzania..kwa
mujibu wa sheria zetu hapa Tanzania,haziruhusu uraia wa nchi mbili kwa
hiyo kama ni kweli basi Masogange sio mtanzania mwenzetu tena...Baadhi
ya watu waliocomment kumsifia ameonesha kuwajibu kwa furaha zaidi.
ConversionConversion EmoticonEmoticon