Magoli
 mawili yaliyofungwa kwa haraka haraka, yalitosha kabisa kuwapa Arsenal 
ushindi muhimu dhidi ya QPR na kuendelea kujikita kwenye nafasi nafasi 
ya tatu katika msimamo wa Ligi Kuu.
 Katika mchezo huo uliochezwa Loftus Road, Arsenal ambayo kwa sasa inatakata vizuri kwenye Ligi Kuu, ikaibuka na ushindi wa bao 2-1.
Dakika
 ya 64 Olivier Giroud aliifungia Arsenal bao la kwanza kabla ya Alexis 
Sanchez kuongeza la pili dakika tano baadae. Bao la kufutia machozi la 
QPR lilifungwa na Charlie Austin katika dakika ya 82.
QPR
 (4-4-2): Green 6; Furlong 6, Onuoha 6 (Hill 45, 6), Caulker 6, Yun 6; 
Phillips 6, Henry 6, Sandro 5 (Kranjcar 57, 5), Hoilett 5; Zamora 6, 
Austin 6.5.
Arsenal
 (4-2-3-1): Ospina 6; Bellerin 6.5, Mertesacker 6, Gabriel 6.5 
(Koscielny 36, 6), Gibbs 6.5; Cazorla 7, Coquelin 6.5; Rosicky 6.5, Ozil
 6 (Welbeck 94), Sanchez 6; Giroud 7.5.
Sign up here with your email
 
ConversionConversion EmoticonEmoticon