BONDIA Francis Cheka aliyehukumiwa kifungo cha miaka mitatu kwenda jela kwa kosa la kumpiga ngumi meneja wa baa yake, amebadilishiwa adhabu ya kifungo.Cheka amechiwa na kutoka gerezani na sasa anatakiwa kutumikia kifungo cha nje
Sign up here with your email
ConversionConversion EmoticonEmoticon