LULU: NIHURUMIENI JAMANI!

Na Sifael Paul

Moyo unauma! Kufuatia kifo cha ghafla cha Kapteni Mstaafu wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) na Mbunge wa Mbinga Magharibi mkoani Ruvuma kwa ‘leseni’ ya Chama cha Mapinduzi (CCM), John Damiano Mtokambali Komba (61), staa wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ anadaiwa kuathirika kisaikolojia kutokana na kushambuliwa mitandaoni.


Staa katika tasnia ya filamu Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’.
SALAMU ZAANZA

Baada ya Komba kufariki dunia Jumamosi iliyopita, baadhi ya Watanzania wasio na soni walianza kumtumia salamu za pole Lulu kwa madai kwamba aliwahi kutuhumiwa kutoka na mheshimiwa huyo ambaye pia alikuwa mwimbaji mwenye jina…
Previous
Next Post »