Msichana mmoja nchini Colombia ametoa kubwa na kali ya mwaka baada ya
kukizamisha kiazi mbatata sehemu zake za siri na kiazi hicho kuanza
kuchipua humo ndani, na binti huyo alifanya uamuzi huo kwa minajili ya
njia ya uzazi wa mpango .
Unajiuliza? Kiazi mbatata ndio!
Binti huyo inakadiriwa kuwa ana umri wa miaka 22, na anaeleza wazi kuwa
mama yake mzazi ndiye aliyemuonesha njia hiyo ya asili kwa amaelezo
kwamba kiazi mbatata kinapoingizwa sehemu za siri ni njia nzuri ya uzazi
wa mpango.
Ndio ni mamake mzazi.
Tatizo la binti huyo lilijitokeza wakati binti huyoalipokwenda clinic
huku akilalamikia maumivu yasiyokuwa ya kawaida,na nesi alipomfanyia
uchunguzi aligundua mizizi inayochipua ikichungulia kutoka kwenye sehemu
zake za siri.
Baada ya kuzuru kliniki,na kupita wiki mbili kiazi kilianza kuota na
kuchipua mizizi na kukua. Lakini kiazi hicho kiliondolewa na binti huyo
hakupata athari zozote katika njia yake ya uzazi.
Njia zisizo sahihi na hatari za uzazi wa mpango bado zinaendelea
kutumika ulimwenguni kote hasa na mabinti wadogo wanaojihusisha na ngono
za utotoniSign up here with your email
ConversionConversion EmoticonEmoticon