Kumekucha
instagram ni vijembe kwa kwenda mbele wanawake wenye mivuto ya kipekee
zari na chagga bebe wapo ulingoni kila mmoja akijitapa kivyake sijui ndo
kumgombania Ivan,mie sijui nani mchokozi ila nijuavyo tu boss lady huwa
haongei ongei hadi achokozwe, ila hii ya Chagga Barbie Kujinadi
Mitandaoni Anatoka na Ivan Baba Watoto wa Zari
Imemuingia Kunako :
Imemuingia Kunako :
Soma Vijembe walivyokuwa wanajibishana hapa Chini:
Mukeyamganda ni Chagga barbie yule aliyewahi kuwa Girlfriend wa Prezzo na Kuachana kwa Aibu
Sign up here with your email
ConversionConversion EmoticonEmoticon