wakikodolea macho picha za wanawake wenye
makalio makubwa iwe ni kim Kardashian,
Jenipher Lopez Nicki Minaj na Vera Sidika kutoka
Kenya .
Sasa basi Utafiti umedhibitisha kuwa ni kweli
wanaume wanapenda wanawake waliojaaliwa
sehemu ya nyuma.
Kulingana na utafiti wa chuo kikuu Bilkent , chuo
kikuu cha Texas, na chuo kikuu cha American
University kilichoko mjini Beirut
Wanaume wanakisia kuwa mwanamke mwenye
makalio makubwa anaweza kufanya kazi kwa bidii
zaidi ya mwanamke ambaye hana makalio
makubwa.
Hata hivyo kinachowavutia wanaume si makalio
haswa bali ni kupinda kwa uti wa mgongo
unaosababisha tako kuonekana zaidi.
Utafiti huo unasema kuwa upinde wa 45.5 ndio
unaovutia wanaume zaidi.
Wanaume walioneshwa picha za makalio ya
wanawake wengi na asilimia kubwa iliwapendelea
wanawake wenye makalio yaliyopinda kwa
kiwango cha 45.5
Aidha zaidi ya asilimia 30% walisema
wangalimchukua mwanamke mwenye makalio
makubwa zaidi ya yule waliye naye sasa.
Kwa mujibu wa utafiti huo katika miaka ya awali
mwanamke aliyeonekana kuwa na makalio
makubwa alipendelewa kutokana na uwezo wake
wa kubeba mizigo mgongoni.
Isitoshe mwanamke kama huyo aliwavutia
wanaume wengi na hivyo kuwa na uwezo wa
kuzaa watoto wengi.
Aidha mwanamke mwenye makalio makubwa
angeweza kustahili uzito wa mtoto aliyebebwa
tumboni na hata kustahilimi makali ya uzazi
kuliko wale wenye makalio wastani
Sign up here with your email
ConversionConversion EmoticonEmoticon