Ijumaa: Hebu waambie wasomaji kuhusu maisha yako ya kimapenzi maana wengi wanahisi hujatulia na una wanaume kibao.
Isabela Francis ‘Vai wa Ukweli’ akiwa katika ofisi za GPL.
Vai: Ukweli ni kwamba ninaye mpenzi wangu ambaye anaitwa Bon,
tunapendana sana na tuna mipango ya kujenga familia yetu. Mimi siyo
machepele kama wanavyofikiria.Ijumaa: Inadaiwa unaishi kinyumba na mwanaume huyo, je familia yako inalichukuliaje…
Sign up here with your email
ConversionConversion EmoticonEmoticon