Hatimaye ile kesi ya kudaiwa kuuchafua uongozi wa Clouds Media Group na mkurugenzi wake wa vipindi na uzalishaji, Ruge Mutahaba iliyokuwa ikimkabili staa wa Bongo Fleva, Judith Wambura Mbibo ‘Jide’ imetolewa hukumu ambapo mwanamuziki huyo ameamriwa kutozungumza chochote (amefungwa mdomo) juu ya walalamikaji hao.
Habari za kuaminika kutoka kwenye chanzo makini zilidai kwamba hukumu ya kesi hiyo juu ya…
Sign up here with your email
ConversionConversion EmoticonEmoticon